Value | Category | Cases | |
---|---|---|---|
Bidhaa hii inatofauti naile ya mwanzo kwa kuwa hii mpya ni heavy duty na imara sana kuliko ile ya mwanzo. | 1 |
1.4%
|
|
Bidhaa mpya bunifu hutusaidia kuyehusha vyuma kwa ubora zaidi na tofauti na mwanzo ilikuwa ni kupika vyuma tu | 1 |
1.4%
|
|
Hapo awa thamani zilizokuwa zinatengenezwa hazikuwa za kisasa ni thamani zilizokuwa zimepitwa na wakati | 1 |
1.4%
|
|
Hapo mwanzo tuliwapatia soda kwenye chupa za glass,lakini sasa hivi tunawapatia soda abiria wetu zikiwa kwenye chupa ya plastics. | 1 |
1.4%
|
|
Hii ni bora zaidi kuliko ile ya mwanzo kwa sababu inatuingizia wateja wengi kutokana na huduma tuliyoboresha. | 1 |
1.4%
|
|
Hotel ilikuwa na uwezo wa kupokea wageni 20 peke yake ila sasa hotel inauwezo wa kupokea wageni zaidi ya 50 kulingani na kuongezeka jengo lingine la hotel | 1 |
1.4%
|
|
INATUMIA KOKOTO NA RANGI NA MCHANGA NA SARUJI. ZA MWANZO NI SARUJI NA MCHANGA TU | 1 |
1.4%
|
|
It was in order not to be a member | 1 |
1.4%
|
|
Many customers | 1 |
1.4%
|
|
Mwanzo vitanda vya mbao za miembe sasa mbao za mdf | 1 |
1.4%
|
|
Mwanzo walikua wanatoa maji kwa wateja sasa wanatoa vinywaji raini | 1 |
1.4%
|
|
Mwanzo waliuza vinywaji na chakula kwa sasa wanakodisha na ukumbi | 1 |
1.4%
|
|
Mwanzon waliuza dawa tu na kutoa kwa njia ya cash sasa hivi wanauza vipimo vya malaria na ukimwi na pia wanatoa kwa credit | 1 |
1.4%
|
|
Mwanzon waliuza maziwa na vitafunwa yaan bites kwa sasa wanauza vyakula na soda | 1 |
1.4%
|
|
Mwanzoni walikua wanatumia walinzi (watu) sasa wanatumia cctv camera | 1 |
1.4%
|
|
Mwanzoni walikuwa wanasafirisha mizigo kwa magari ya kukodi ila kwa sasa wanasafirisha kwa magari ya ofisini waliyonunua | 1 |
1.4%
|
|
Mwanzoni walikuwa wanauza soda za kampuni ya pepsi tu lakini kwa sasa wanauza na za kampuni ya cocacola | 1 |
1.4%
|
|
NILIKUWA NAUZA VIFAA VYA MAGARI. | 1 |
1.4%
|
|
Ni bidhaa ambazo zinatumia mbao kila sehemu kwa mfano meza miguu ni mbao hata top ya juu ni mbao pia labda mteja ahitaji top ya kioo | 1 |
1.4%
|
|
Ni uboreshwaj wa vitanda mwanzon vilikuwa vya kawaida kwa sasa vinaitwa peneli vina mabawa makubwa kwa mbele ya kitanda kwa juu . | 1 |
1.4%
|
|
Photopino ni aina ya zamani katika inatofautiana na monalisa kwakua inatengenezwa kwa leather na kitambaa na monalisa inatengenezwa kwa kitambaa na miundo yake ni tofauti | 1 |
1.4%
|
|
Utengenezaji wa magari | 1 |
1.4%
|
|
Was selling beef | 1 |
1.4%
|
|
Welding and brick making | 1 |
1.4%
|
|
YA KWANZA ILIKUWA YA KITUMIA MKONO LAKINI YA SASA NI YA AUTORMATIC MASHINE NI BORA ZAIDI. | 1 |
1.4%
|
|
Zamani tulishona magauni ya vitenge tu sasa tunashona suti za kina mama | 1 |
1.4%
|
|
Zamani tulitengeneza madirisha ya aluminiam sasa madirisha ya chuma | 1 |
1.4%
|
|
Zamani tuliuza thamani zandani tu kwa sasa tunatengeneza na milango | 1 |
1.4%
|
|
bidhaa za mwaka wa fedha 2010-2012 zinatoka china | 1 |
1.4%
|
|
biter lemon haina sukari kama soda zingne zilivyo na sukari | 1 |
1.4%
|
|
haina tofauti sana na ambayo tunayo ila hii ni mchanganganyiko wa malighafi tofauti | 1 |
1.4%
|
|
haitofautiani sana | 1 |
1.4%
|
|
hakuna | 1 |
1.4%
|
|
hakuna maelezo | 1 |
1.4%
|
|
hudama ya kwanza tulikuwa tuna tengeneza fanicha za wateja lakini sasa tunatengeneza na kuuza | 1 |
1.4%
|
|
huduma bunifu inasaidia kufikisha bidhaa kwa wakati tofauti na zamani ambapo ilikuwa inapoteza muda | 1 |
1.4%
|
|
huduma bunifu tunawapelekea wateja bizaa yetu ya majani ya chai sehemu waliyopo huduma ya zamani walikuwa wanafuata wenyewe | 1 |
1.4%
|
|
huduma kuu tunatengeneza vifaa kwa kutumia aluminiam na huduma nyingine tunatengeneza kwa kutumia mbao | 1 |
1.4%
|
|
huduma mpya tunauza nguo hudima ya zamani tulikuwa tuna shona nguo bila kuuza | 1 |
1.4%
|
|
huduma ya mwanzo tulikuwa tunashona nguo tu lakini hudima mpya tunauza na nguo na kushona | 1 |
1.4%
|
|
huduma ya mwanzo tulikuwa tunashona tu huduma ya sasa tunashona na kuuza | 1 |
1.4%
|
|
huduma ya mwanzo tulikuwa tunatengeneza faniture huduna ya sasa tuna uza fa niture | 1 |
1.4%
|
|
huduma ya mwanzo wateja walikuwa wanafuata wenyewe huduma ya sasa tunawapelekea | 1 |
1.4%
|
|
huduma ya mwanzotulkuwa tunatengeneza faniture kwa kutumia mbao lajini lakini huduma ya sasa tunatenfeneza kwa kutumia aluminium na vioo | 1 |
1.4%
|
|
huduma ya sasa bunifu inasaidia katika suala zima la muda kwa mf. Badala yakufanya kazi ya siku tatu kazi humalizika ndani ya siku 2 | 1 |
1.4%
|
|
huduma ya zamani ilikuwa inachukua muda mwingi kufanya kazi moja lakini huduma ya sasa inasaidia kumaliza kazi kwa wakati | 1 |
1.4%
|
|
huwa niya kuchonga ambayo ni kubuni kwa uelewa wa kifundi au kichwani mwake. | 1 |
1.4%
|
|
inasaidia kutunza muda | 1 |
1.4%
|
|
it is recycled | 1 |
1.4%
|
|
kuboresha biashara | 1 |
1.4%
|
|
matumizi ya mitambo ili kufanikisha kazi ifanyike kwa urahisi zaidi | 1 |
1.4%
|
|
mbali na mafunzo ya kompyuta pia tumeanzisha mafunzo ya kiingereza kwa baadhi ya wanafunzi (english course) | 1 |
1.4%
|
|
mwanzo wateja walikuwa wanafuata nyama wenyewe ila sasa wanaweza kupelekewa hadi nyumbani | 1 |
1.4%
|
|
mwanzon twiga walitengenezwa kwa kusimama kwa miguu yao wenyewe sasa hivi wametengenezewa kibao au stand kwa ajili ya kusimamia | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni nilitengeneza kochi za kawaida sasa natengeneza kochi za sofa. | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni palitengenezwa flame za madirisha na milango ya geti kwa sasa wanatengeneza na vitanda vya chuma | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni paliuzwa vinywaji tu kwa sasa wanauza na chakula | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni tulikuwa tunauza balbu ba nyaya za umeme. | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni tulikuwa tunauza matairi ya michirizi midogo ila sasa hadi za magari. | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni tunauza vinywaji lakini kwasasa tunauza chakula. | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni walikuwa wanachonga lakini kwasasa wanasuka. | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni walikuwa wanauza vocha lkn kwasasa wanatumia mashine ya selcom | 1 |
1.4%
|
|
mwanzoni waliuza magodoro ya aina nyngne kama vita raha na magodoro dodoma kwa sasa wanauza na magodoro ya confyn | 1 |
1.4%
|
|
ni kubwa kuliko ys kwanza.Ko inakidhi mahitaji | 1 |
1.4%
|
|
sasa hivi kazi inamalizika ndani ya muda mfupi ukilinganisha na zamani | 1 |
1.4%
|
|
tofauti huduma hii huwa tunawapitia watu majumbani na kuwafungia | 1 |
1.4%
|
|
tulikuwa tunazalisha bomba za size ya ml 20 | 1 |
1.4%
|
|
zamani kulikuwa na pub kwasasa wana duka. | 1 |
1.4%
|
|
zamani tulikuwa tunatumia malighafi za mbao lakini sasa hivi tunatumia chuma na mbao | 1 |
1.4%
|
|
zamani wafanyakazi walikuwa hawatumii mitambo mf.Mashine lakini sasa hivi huduma imeboreshwa zaidi | 1 |
1.4%
|
This site uses cookies to optimize functionality and give you the best possible experience. If you continue to navigate this website beyond this page, cookies will be placed on your browser. To learn more about cookies, click here.